Loading...
Home / Products / product
MTEMBA | product - New fashion dress

New fashion dress

New fashion dress

Image

33400 TSH Buy

Ni GAUNI nzuri la kuvutia na kupendeza
-Ina muondo wa sketi na brauzi iliyoungana
-Imetengenezwa kwa pamba asilimia 100
-Brauzi yake inavutika mithiri ya mpira
-Sketi yake ni nzito yenye muundo wa lindabox za hewa
-Inamfaa mtu mwenye umbile lolote na umri wowote
-Unaweza kuivaa katika muktadha wowote.