Loading...
Home / services / main
MTEMBA | Kuuza viwanja vilivyopimwa

Kuuza viwanja vilivyopimwa

Kuuza viwanja vilivyopimwa

Image

Mtemba service company inakuwezesha kununua viwanja vilivyopimwa kutoka sehemu mbalimbali tanzania, manunuzi ya viwanja hivi yanakuja moja kwa moja na hati za kiwanja pale unapomaliza kufanya malipo ya kiwanja.

Je, unahitaji kiwanja kilichopimwa?? karibu tukuhudumie na upate kiwanja kilichobora kwa makazi na huduma nyingine.
Karibu sana